Nani ni "heroes" wa watoto wako. Je, ni wacheza mieleka? je, ni washika bunduki na wauaji wa kwenye sinema na video? Ukimnunulia zawadi mwanao, je, unamletea nini? Je, ni "toy" ya bunduki au ni nini?
Hatima ya mwanao iko mikononi mwako. Kile unachofanya au usichofanya angali bado mchanga ndicho kitakachoamua maisha yake ya baadaye; na hata uzima au mauti ya milele ijayo.
Contina
Mambo
tuliyoyasikia na kuyafahamu, ambayo baba zetu walituambia. Hayo hatutawaficha
wana wao, huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za BWANA, na nguvu zake, na
mambo yake ya ajabu aliyoyafanya. Maana alikaza ushuhuda katika Yakobo, na
sheria aliiweka katika Israeli. Aliyowaamuru baba zetu wawajulishe wana wao,
ili kizazi kingine wawe na habari, ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na
kuwaambia wana wao. (Zaburi 78:3-5).
Kanon Tipton
Wanao
wakiyashika maagano yangu, na shuhuda nitakazowafundisha; watoto wao nao
wataketi katika kiti chako cha enzi milele. (Zaburi 132:12).
Mwenye
haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake watabarikiwa baada yake. (Mithali
20:7).
Hata
mtoto hujijulisha kwa matendo yake; kwamba kazi yake ni safi, kwamba ni adili.
(Mithali 20:11).
Kanon Tipton
Mlee
mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee. (Mithali
22:6).
sema kaka, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto mdogo unakuta mama yake mzazi anatukana matusi ya nguoni na mtoto yupo anasikia, what do you expect?unadhani mtoto atakuwa mstaarabu?
ReplyDeletemtoto jumapili hapelekwi kanisani eti amechoka alale, unadhani akikua atajua umuhimu wa kanisa, lazima wakirsto tubadilike jamani, misingi ya dini izingatiwe kwenye malezi, tusitegemee kufuga mtoto wa simba bandani halafu tutegemee atageuka ng'ombe ukubwani
Barikiwa mtumishi
Ulichosema ndugu yangu ni kweli. Ni jambo la muhimu sana kuwalinda watoto kwa kuwakabidhi kwa Mungu ili Neno lake na Roho wake wawalinde.
ReplyDeleteyap!
ReplyDelete