Sunday, August 26, 2012

Msalaba wa KristoMsalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo ndilo jambo kubwa kabisa katika maisha yetu, maana unamaanisha wokovu. Na wokovu ni kila kitu - uponyaji, msamaha wa dhambi, uzima wa milele!

Mimi ninapenda 'country gospel songs'. Naamini nawe utafurahia. Bwana wetu Yesu akubariki.


No comments:

Post a Comment