Monday, August 20, 2012

Free E-Books

Je, umeiona sehemu mpya ya  
Free E-Books hapo juu? 

Fungua sehemu hiyo ujipatie 
E-Books 
za bure ili uweze kujiendeleza 
na kukua kiimani. 

Mungu akubariki.

1 comment:

  1. Mtumishi wa bwana James najua unajisikia vizur hata Mungu mwenyewe anajisikia vizur anapoona kazi aliyoifanya kupitia wewe imemsaidia mtu. Aisee mbona hii blog nimechelewa kuijua? Mbona kila ninalolisoma ni kama Mungu ananijibu yale nilikuwa siyawezi au siyaelewi. Ktk kitabu chako cha Mwenza umenifungua vitu vingi sana. Na kikubwa kuliko yote ni jinsi ya kufanga yale maombi ya vita. Yan si kwa ajili ya Mwenza tuu bali hata katika mazingira mengine Nami nakuombea kwa bwana akupe neema ya kuhudumia maelfu ya watu kwa kadri ya karama anayoinua ndani yako. Bwana aangalie haja ya moyo wake akupe na akuzidishie mara mia. Heshima ukuu.utukufu.ufalme.mamlaka.nguvu.uweza usltani. Yeye ni Miungu wa Miungu. Mapepo wenyewe wanakiri kwa kumwiita the master of master. Most higher God atukuzwe abarikiwe na vyoto hivi pamoja na sifa ni vya kwake wala mimi siwezi hata kuvigusa au kuvifikiria namrudishia yeye. Yeye ni alfa na omega. Mungu wa majeshi Mungu mwenye nguvu akaae kiti cha juu cha enzi. Aabudiwe atukuzwe Yehova Elshedai Baba wa utukufu yeye mwenye nuru yenye ukweli. Baba wa utukufu mtawala wa mbingu dunia hata kuzimu wana mjua ni Mungu wa wote mwenye mwili.Baba yangu na mtetezi Muumba wangu. YESU KRISTO

    ReplyDelete