Marehemu Ahmed Deedat
Waislamu wanashikilia
kwamba Muhammad alitabiriwa kwenye Biblia. Andiko lao kuu wanalotumia kutetea
hoja hii ni Kumbukumbu la Torati 18:18. Andiko hilo linasema:
Mimi nitawaondokeshea
nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu
kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
Mmojawapo wa watu ambao walijaribu sana kuonyesha kuwa
andiko hili lilimhusu Muhammad, alikuwa ni mwanaharakati wa Kiislamu, marehemu
Ahmed Deedat wa Afrika Kusini.
Unaposoma au kusikiliza sababu wanazotoa ili kuthibitisha
madai yao hayo, kwa kweli ni sababu zenye nguvu sana (kwa mtu ambaye haelewi
Biblia); ingawaje hazina uzito hata chembe ukijua Biblia inasema nini katika
ujumla wake na ni nini makusudi na malengo ya Mungu kwa uzao mzima wa Adamu.
Tafadhali nakuomba ubofye HAPA ili uendelee kusoma sehemu iliyobakia ya makala haya.
No comments:
Post a Comment