Ni siku nyingi zimepita tangu niweke
ushuhuda unaohusu Kubatizwa kwa Moto. (Miaka takribani mitatu). Mungu amekuwa
mwema, na kwa neema yake tutaendelea sasa na ushuhuda huu wenye nguvu sana na
wa muhimu kwa kanisa na maisha ya mtu mmojammoja. Karibu tuendelee na Bwana
wetu Yesu kristo akubariki.
==== SIKU YA 17 ====
