tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post2921620452051563407..comments2024-03-09T08:40:11.426+03:00Comments on Yesu Ni Njia: Kanisa Litanyakuliwa Wakati Wowote!Jameshttp://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-6602036050932860862023-12-22T03:59:03.204+03:002023-12-22T03:59:03.204+03:00Hakika ni kweli kabisa ila MUNGU muumba wa mbingu ...Hakika ni kweli kabisa ila MUNGU muumba wa mbingu na aridhi atuhurumie rehema zake ziambatane nabkila tunapo tembeaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-8742639815512501492013-11-17T10:39:08.117+03:002013-11-17T10:39:08.117+03:00Amen Goodluck. Ashukuriwe Bwana wetu Yesu.Amen Goodluck. Ashukuriwe Bwana wetu Yesu.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-60243777358373237092013-11-16T20:04:16.176+03:002013-11-16T20:04:16.176+03:00Nimekuwa nikitembelea blog yako kwa muda sasa, nim...Nimekuwa nikitembelea blog yako kwa muda sasa, nimebarikiwa na kujifunza mengi yaliyo ya baraka Hakika nabarikiwa sana.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/03157188877489239133noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-91451106920617697292013-11-12T08:30:51.014+03:002013-11-12T08:30:51.014+03:00Nashukuru sana Ruta kwa kunishitua katika hilo. Ni...Nashukuru sana Ruta kwa kunishitua katika hilo. Ni kweli kabisa niliandika sentensi ambazo sikugundua kuwa zilikuwa na maana ileile. Nimeshazirekebisha sasa. Ubarikiwe na Bwana.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-12882392396301611032013-11-11T22:27:32.332+03:002013-11-11T22:27:32.332+03:00Shalom James. Maneno yaliyoko ktk haya yako ya kwa...Shalom James. Maneno yaliyoko ktk haya yako ya kwanza ktk makala hii inasomeka hivi "..............hakutakuwapo na unyakuo kabla ya dhiki kuu; na wengine wanasema kuwa unyakuo utatokea baada ya dhiki kuu". Nimeshindwa kujua tofauti ya sentensi hizo mbili. Kwamba hakutakuwepo na unyakuo kabla ya dhiki kuu maana yake ni kwamba dhiki kuu itatangulia ndio unyakuo ufuate. Na sentensi kuwa "unyakuo utatokea baada ya dhiki kuu" pia maana yake ni kwamba dhiki kuu itatangulia ndio unyakuo ufuate. Kimsingi hizi ni sentensi zenye maana sawa sawia.Ruta snhttps://www.blogger.com/profile/02245978398948747956noreply@blogger.com