tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post1457542445768741587..comments2024-03-09T08:40:11.426+03:00Comments on Yesu Ni Njia: Nilihisi kama Mungu Amenisaliti!Jameshttp://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-23593669201526053042014-04-25T08:27:14.222+03:002014-04-25T08:27:14.222+03:00UMEULIZA KUHUSU KUZIJARIBU ROHO
Kuzijaribu roho, ...UMEULIZA KUHUSU KUZIJARIBU ROHO

Kuzijaribu roho, kunahitaji mambo makuu mawili.

Kwanza ni lazima ujenge uhusiano wako na Yesu (Roho Mtakatifu) SIKU HADI SIKU – kuomba, kusoma Neno lake na kumtii kadiri anavyokuongoza. Na katika utendaji (real practice) tu ndipo unaweza kujifunza KIBINAFSI kutambua sauti ya Roho Mtakatifu – wengine husikia sauti wazi kama ilivyo kwa huyu dada, na wengine inakuwa tu kama wazo linakujia. With time unakuwa unaweza kutofautisha kati ya Roho Mtakatifu na mawazo binafsi – si kitu unachoweza kukijua sawasawa kutokana na maelezo ya mtu mwingine.

Kondoo wangu WAISIKIA SAUTI YANGU; nami nawajua, nao wanifuata. (Yoh 10:27).

Ukiwa mtii kwa Bwana, kweli kabisa hatakuacha upotee. Si kwamba hautaingia kwenye matatizo – NI LAZIMA ATAKUPITISHA HUKO. LAZIMA! Lakini kwa kuwa una tunda la Roho, UVUMILIVU utakutunza hadi wakati wa kujibiwa kwako kwa kuwa UNAMWAMINI Bwana; na Bwana ni mwaminifu.

Pili, ukishakuwa na Neno la kutosha ndani yako – ndipo kila jambo unalosikia, wazo linalokujia, n.k., unaweza kujua kuwa ni la kweli au si la kweli kwa sababu ama linakubaliana na Neno la Mungu au linapingana nalo. Kama linapingana na Neno la Mungu, hiyo ni roho ya uongo hata kama anayesema jambo hilo ni askofu au mchungaji wako. Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-81893379713484850682014-04-25T08:26:10.594+03:002014-04-25T08:26:10.594+03:00UMEULIZA KUHUSU MTEGO WA KUINGIA KWENYE WEBSITE ZA...UMEULIZA KUHUSU MTEGO WA KUINGIA KWENYE WEBSITE ZA KISHETANI

Unaposoma ushuhuda huu, unatambua jambo moja kwamba – alipita kwenye kipindi fulani cha uchanga wa kiroho. Alikuwa ni mtu anayemtafuta Mungu, lakini alikuwa katika ile hatua ambayo MTU HUWA ANAWAZA KUWA NI LAZIMA MUNGU ANIPE KILA NIOMBACHO KWA WAKATI NITAKAO KWA KUWA NIMEOMBA.

Kisha akicheleweshwa kidogo; au akitikiswa kidogo na jaribu, anatetereka na kumwacha Bwana. Huu ni uchanga wa kiroho.

Mtu anayemjua Bwana na amesimama sawasawa na amekua kiroho ana msimamo wa Shadraki, Meshaki na Abednego:
Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili. Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. BALI KAMA SI HIVYO, UJUE, EE MFALME, YA KUWA SISI HATUKUBALI KUITUMIKIA MIUNGU YAKO, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha. (Danieli 3:17-18).

Anajua kuwa Mungu ni MWAMINIFU TU, hata kama mambo yanaonekana hayaendi sawa kama alivyoomba au kutarajia. Mtu wa aina hii anakuwa amesimama kwenye Mwamba usiotikisika.

Na Yesu anasema wazi:
“Tazama nimewapa amri (authority) ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, WALA HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHOWADHURU.” (Lk 10:19).

Ukiwa umesimama sawasawa na Yesu hakuna kazi YOYOTE YA KUZIMU itakayokushinda – iwe ni website ya wachawi au ya ibilisi mwenyewe. Lakini bila hivyo, ni rahisi na inawezekana kabisa kuathiriwa au kudhuriwa kama ilivyokuwa kwa huyu dada.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-45946636329011462792014-04-25T08:24:37.450+03:002014-04-25T08:24:37.450+03:00Shalom Joseph,
UMEULIZA KUHUSU KUPIGA MUZIKI:
Bi...Shalom Joseph,

UMEULIZA KUHUSU KUPIGA MUZIKI:
Biblia inaongelea sehemu nyingi kuhusu kumwimbia Bwana na pia kumpigia muziki tena kwa vyombo mbalimbali. Kwa mfano:
MWIMBIENI Bwana zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake. (Zaburi 30:4)

MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo. (Isaya 42:10)

Haleluya. MWIMBIENI Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa. Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na WAMSHANGILIE mfalme wao. Na WALISIFU jina lake kwa KUCHEZA, KWA MATARI NA KINUBI WAMWIMBIE. Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu. (Zaburi 149:1-4)

Anachoongelea huyu dada mwenye ushuhuda huu sio KATAZO la kumwimbia Bwana na kumpigia. Hebu tuanze kwa kuangalia mfano huu:
“Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua.” (Isaya 1:13-14).

Mungu ndiye aliyeagiza kwenye agano la kale watu washerehekee sikukuu kadhaa na kutunza sabato. Iweje basi aongee hapa kwa kuyachukia kiasi hiki mambo yaleyale ambayo aliyaagiza mwenyewe?

Kumbe tunaona tatizo haliko kwenye maagizo menyewe, bali ni hapa:
“Msilete tena matoleo ya UBATILI.”

SIKU ZOTE, iwe ni sadaka, msaada, sala, n.k., hukubalika mbele za Mungu kutokana na hali ya moyo ya mwanadamu (attitude towards God). Yaani, unachofanya, unafanya kwa sababu gani?

Je, unaenda Kanisani kumwabudu Mungu au unaenda tu kuburudishwa na magitaa na muziki mtamu kwa sababu ya shida zako na mawazo na huzuni ulizo nazo. Ni wazi kuwa muziki ni kitu kinachoamsha hisia za watu. Lakini NJE YA HAPO, uhusiano wako na Mungu ukoje?

Uhusiano na Mungu unatakiwa kuwa ni jambo la kudumu – kila saa kila sekunde. KILA unalosema, unalowaza na unalotenda ni lazima ujiulize kama Bwana analiridhia.

“Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” (Kol 3:17)

Mtu mwenye mtazamo huu, hawezi kutenda jambo ovu kwa sababu eti hakuna mtu anayemwona; maana hofu yake haiku kwa wanadamu bali kwa Bwana. Wakati wote anakuwa aware kwamba jicho la Bwana linamwangalia. Na siku zote anatafuta kumpendeza Bwana.

Kwa hiyo, mtu wa hivi, hata muziki wa Kanisani ukipigwa, yeye anapoimba, anapocheza, anakuwa anafanya hivyo kwa ajili ya Bwana – SIO KWA AJILI YA KUTAFUTA FARAJA KWA SABABU ALIGOMBANA NA MUME AU MKE WAKE NYUMBANI.

NJE YA HAPA, kuimba au kucheza kwetu muziki ni UBATILI na machukizo mbele za Bwana. Na ndicho anachokikataa kwa hasira Bwana hapo juu kwenye Isaya 1 – yaani: “MSILETE MATOLEO YA UBATILI.

Kwa maana nyingine: LETENI MATOLEO LAKINI SITAKI MATOLEO YA UBATILI.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-2888508191750744962014-04-25T02:35:48.199+03:002014-04-25T02:35:48.199+03:00Ndugu James. Bwana Yesu asifiwe. Pole na majukumu....Ndugu James. Bwana Yesu asifiwe. Pole na majukumu. Najua upo bize. Lakin pia hujui jinsi hii blog ilivyoongeza nguvu ya Mungu ndani yangu. Yan kuna siku nitatoa shuhuda. Pia naomba unijibu hayo maswali hapo juu. Barikiwa na bwanaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04918243957044654293noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-77115861439129392072014-04-22T00:57:23.322+03:002014-04-22T00:57:23.322+03:00Mmh mtumishi James. Ushuhuda huu ni mzito sana na ...Mmh mtumishi James. Ushuhuda huu ni mzito sana na bila roho mtakatifu kukupa mafunuo huwezi elewa kitu. Nimeona alivyo identify siri za kipepo katika kucontrol maisha ya kikistro kwa njia ya uwongo.naomba clarification zifuatazo
1. Inamaana kupiga mziki katika maombezi au vyombo vya mziki,au kusifu na kuabudu wakati wa kufanya maombezi au kabla ya maombezi according ulivyotafisiri ni kuamsha hisia wala hakuna uwepo wa Mungu?
2. Mwandishi anasema kuna wakati aliingia katika mtego wa kishetani kuingia katika website ya kishetani sasa je kusudi tusije kurudia makosa wewe binafsi ulishafanyia kazi hii mitandao ya precioustestmonies.com,gospel.com.net ya mwisho hiyo ni kucheki kama neno hilo ulilolipata ni la kweli au laah.Na je njia nzuri ni kutegemea iyo website ya kuclarify kama neno ilo la ukweli au kushirikisha wachungaji wetu.
3. Anachofundisha uyu bwana kutokana na alichopitia haya mafunzo hata mimi yaani. Precaution! Lakini jee tunajaribu vip kila neno linalotoka kila kwa nabii.au mafunzo au kitu chochote. Je how do u test? Biblia imetoa precaution kuwa tutest according to maandiko. Lkn tuna test vip? yes nisaidie hayo kwanza. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/04918243957044654293noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-3526687765175228982013-06-14T21:01:47.221+03:002013-06-14T21:01:47.221+03:00Hi. You seem to have written so many comments. But...Hi. You seem to have written so many comments. But you hardly say anything specifically referring to the topic in question. You are very vague.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-25506275930730432412013-06-13T20:55:13.774+03:002013-06-13T20:55:13.774+03:00Thank you for the good writeup. It in fact was a a...Thank you for the good writeup. It in fact was a amusement
account it. Look advanced to far added agreeable from you!
However, how can we communicate?

Also visit my webpage: simply click the up coming website pageAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-57619523096799069542013-06-04T07:47:42.354+03:002013-06-04T07:47:42.354+03:00Hi there to every body, it's my first go to se...Hi there to every body, it's my first go to see of this webpage; this blog contains remarkable and actually excellent information for visitors.

my blog post - email newsletters templatesAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-41742778168874311622013-04-27T13:59:09.611+03:002013-04-27T13:59:09.611+03:00Thanks. Be blessed.Thanks. Be blessed.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-18998358585517144072013-04-27T05:57:11.404+03:002013-04-27T05:57:11.404+03:00I don't even know how I ended up here, but I t...I don't even know how I ended up here, but I thought this post was good. I don't know who you are but certainly you are going to a famous blogger if you aren't already ;) Cheers!

my blog creative groupAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-45838983621577007102012-10-29T07:21:04.226+03:002012-10-29T07:21:04.226+03:00Hello.
I am glad to see your comments. Sorry for ...Hello.

I am glad to see your comments. Sorry for my missing my rss feed.

May I say that I really am not yet very competent in blogging, so there are many things that i still don't understand how to manipulate them - even though they may be very easy for others.

One of the things is this RSS. Another is comments. I have been trying to set this blog in a way that allows Threaded Comments. I havent been able to do it so far.

So, please, bear with me as I go on learning how to do these things. By the grace of God, I will find someone who will help me to sort them out.

May the Lord bless you. Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-47947784993665997512012-10-20T06:31:09.104+03:002012-10-20T06:31:09.104+03:00Can I just say what a relief to find someone who a...Can I just say what a relief to find someone who actually knows what theyre talking about on the internet. You definitely know how to bring an issue to light and make it important. More people need to read this and understand this side of the story. I cant believe youre not more popular because you definitely have the gift.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-40120224812399480532012-10-16T21:38:00.012+03:002012-10-16T21:38:00.012+03:00I will immediately snatch your rss feed as I can n...I will immediately snatch your rss feed as I can not to find your email subscription hyperlink or e-newsletter service. Do you’ve any? Please permit me understand in order that I could subscribe. Thanks.Anonymousnoreply@blogger.com