tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post1034589240628481577..comments2024-03-09T08:40:11.426+03:00Comments on Yesu Ni Njia: Nitashindaje Dhambi Inayonisumbua?Jameshttp://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comBlogger24125tag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-61088491619208195372016-09-22T08:16:32.305+03:002016-09-22T08:16:32.305+03:00AmenAmenJameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-79163723629298449952016-09-22T08:16:11.948+03:002016-09-22T08:16:11.948+03:00Nawe pia Peter Nawe pia Peter Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-21182849809106141452016-09-22T08:15:46.344+03:002016-09-22T08:15:46.344+03:00Amina. Nawe barikiwa pia.Amina. Nawe barikiwa pia.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-91587317054615545652016-08-29T10:18:35.153+03:002016-08-29T10:18:35.153+03:00Amina Mtumishi JamesAmina Mtumishi Jamesklauss Maleyhttps://www.blogger.com/profile/14167818256891605818noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-77904061172715453892016-07-28T10:49:35.211+03:002016-07-28T10:49:35.211+03:00Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa neno lako la u...Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa neno lako la uzimaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/01600467790678102651noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-66053782227798183762016-07-28T10:47:30.635+03:002016-07-28T10:47:30.635+03:00Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa neno la uzima...Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa neno la uzimaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/01600467790678102651noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-32909755876633986102014-06-16T09:59:24.083+03:002014-06-16T09:59:24.083+03:00Amen. Ubarikiwe nawe pia. Facebook nipo japo zaidi...Amen. Ubarikiwe nawe pia. Facebook nipo japo zaidi najihusisha na mijadala kati wa Wakristo na Waislamu kwa hiyo kwenye account yenyewe unaweza usione kitu sana. lakini inaitwa Jimmy John. Alama yake ni picha iliyochorwa kuashiria kupimana nguvu kati ya Yesu na shetani na pia kuna picha ya aliyeigiza Yesu akiwa msalabani.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-57008498806699181042014-06-16T09:32:16.397+03:002014-06-16T09:32:16.397+03:00ubarikiwe james na facebook upo.ubarikiwe james na facebook upo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-50327707276818902732014-04-15T08:41:54.628+03:002014-04-15T08:41:54.628+03:00amen Joseph. Endelea kusonga mbele na Bwana Yesu. ...amen Joseph. Endelea kusonga mbele na Bwana Yesu. ukudaha. utarave unyuma. kukaku lakini ukudaha! mu muntu ukukiriywa u u njia ni nkaku ila ni ukwatia kwa nguu yong'e.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-62469065065585745752014-04-15T01:59:52.426+03:002014-04-15T01:59:52.426+03:00Ubarikiwe sana. Tafadhali endelea kutufunza.Asante...Ubarikiwe sana. Tafadhali endelea kutufunza.Asante YesuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04918243957044654293noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-60745747762596441892013-12-07T21:47:16.344+03:002013-12-07T21:47:16.344+03:00Amen ndugu. Bwana Yesu akubariki sana nawe pia.Amen ndugu. Bwana Yesu akubariki sana nawe pia.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-72492795974572632852013-12-07T00:26:33.825+03:002013-12-07T00:26:33.825+03:00Ubarikiwe mtumishi wa munguUbarikiwe mtumishi wa munguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-44730711766339084622013-11-09T11:55:13.872+03:002013-11-09T11:55:13.872+03:00ubarikiwe na Bwana ndugu.ubarikiwe na Bwana ndugu.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-24838386276925672682013-11-08T18:39:39.340+03:002013-11-08T18:39:39.340+03:00Asante mtumishi umenitia moyo sana barikiwa sanaAsante mtumishi umenitia moyo sana barikiwa sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-33837395987792337252012-08-04T10:50:17.878+03:002012-08-04T10:50:17.878+03:00Star, nitaangalia kuhusu hilo suala la kusikia sau...Star, nitaangalia kuhusu hilo suala la kusikia sauti ya Mungu, kisha nitajibu.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-82285360328518603272012-08-02T17:15:31.322+03:002012-08-02T17:15:31.322+03:00Barikiwa James, nilikuwa naomba ufundishe kuhusu k...Barikiwa James, nilikuwa naomba ufundishe kuhusu kusikia sauti ya Mungu, jamani hili swala linanitatiza sana wapendwa, hasa jinsi ya kupambanua hii ni sauti ya Mungu, shetani au mawazo binafsi hasa wakati mtu unaomba

Ningeshukuru sana kama una mafundisho kama hayo unitumie hata kwa email nahitaji sana kujua

Barikiwa sana mtumishi hata kuliko AbrahamStarnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-3709538181665049212012-08-01T17:06:26.866+03:002012-08-01T17:06:26.866+03:00Franco asante kwa maoni na kwa kunitia moyo. Ashuk...Franco asante kwa maoni na kwa kunitia moyo. Ashukuriwe Mungu wetu kwa kusema nawe kupitia masomo haya. Kuhusu masuala ya uchumba kama ulivyosema, nitafanya hivyo. unarikiwe.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-34977736908389710082012-08-01T15:06:41.791+03:002012-08-01T15:06:41.791+03:00Mtushi James MUngu pekee yake Akubariki hadi ushan...Mtushi James MUngu pekee yake Akubariki hadi ushangaee kwani umenigusa sanaa na umenitiaa moyo katika wakovu,pia umeniapa kitu sasa nina kitu moyoni......naamu MUngu anasema imani huja kwa kusikia au kusoma nami nimesoma neno la MUngu JAMES, almight God bless you.
naomba roho mtakatifu azidi kunena nawe zaidi,...
PIA NAKUOMBA
UTUFUNDISHE VIJA TULIO WENGI MAHUSIANO SAHIHI YA KIMUNGU KATIKA MAANDALIZI YA UCHUMBA NA KUOA.
Ubarikiwe sanaa.Franco Sanganoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-12639005801119701792012-07-06T17:01:25.387+03:002012-07-06T17:01:25.387+03:00Nakushukuru vilevile emback kwa maoni ya kutia moy...Nakushukuru vilevile emback kwa maoni ya kutia moyo. namshukuru pia Roho Mtakatifu kwa kutumia mafundisho haya kusema nawe. Ubarikiwe na Bwana tunapokuwa tunamalizia safari hii tuliyo nayo.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-4124364377806476972012-06-29T14:26:32.784+03:002012-06-29T14:26:32.784+03:00kuna kitu furani nahisi kuwa kinapatikana katika h...kuna kitu furani nahisi kuwa kinapatikana katika huduma yako! na kitu hicho kinanifanya nisichoke kutembelea blog yako! kwa ufupi unanitiamoyo sana katika safari ndefu hii tuliyonayo.....ambayo kadri tunavyomkaribia inakuwa ni fupi kuliko tulivyodhani!embackhttps://www.blogger.com/profile/16282627785716182985noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-5953787722695183772012-06-12T16:46:56.082+03:002012-06-12T16:46:56.082+03:00asante sana Noel. Mungu akubariki na kuendelea kuk...asante sana Noel. Mungu akubariki na kuendelea kukupa nguvu katika safari yetu ya kiroho.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-22806974762171145932012-06-12T15:52:10.001+03:002012-06-12T15:52:10.001+03:00KAZI UNAYOIFANYA MALIPO YAKE NI MUNGU PEKEE ATAKAY...KAZI UNAYOIFANYA MALIPO YAKE NI MUNGU PEKEE ATAKAYEKULIPA. HONGERA NA MUNGU AENDELEE KUKUTIA NGUVUNOEL SAWEnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-84527806624859115902012-04-29T14:37:07.305+03:002012-04-29T14:37:07.305+03:00Amen ndugu yangu. Mungu akubariki kwa kunitia moyo...Amen ndugu yangu. Mungu akubariki kwa kunitia moyo. Songa mbele pia kujitakasa kila kukicha.Jameshttps://www.blogger.com/profile/17057408466635820757noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6160614323715964521.post-54173472320383342382012-04-28T10:45:59.487+03:002012-04-28T10:45:59.487+03:00mtumishi mungu akubariki usikate tamaa.songa mbele...mtumishi mungu akubariki usikate tamaa.songa mbele kufundisha neno la bwana katika mtandaoAnonymousnoreply@blogger.com